MBOLEA ZA RUZUKU ZALETA MANUFAA KILIMO CHA KAHAWA KARATU

Na Barnabas Kisengi Dodoma Imeelezwa kuwa mpango wa mbolea ya ruzuku umeleta nafuu kubwa kwenye shuguli za uzalishaji wa  kahawa kwa kampuni ya kilimo cha kahawa ya Karatu Coffee Eatate LTD iliyoko Wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Kabla ya serikali kuja na mpango wa mbolea ya ruzuku kampuni ilikuwa ikitumia kiasi cha ahilingi milioni 250